Zaburi 117:1-2
Zaburi 117:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Enyi mataifa yote, msifuni Mwenyezi-Mungu! Enyi watu wote mhimidini! Maana fadhili zake kwetu sisi ni kuu; uaminifu wake Mwenyezi-Mungu wadumu milele! Msifuni Mwenyezi-Mungu!
Shirikisha
Soma Zaburi 117Zaburi 117:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Haleluya. Enyi mataifa yote, msifuni BWANA, Enyi watu wote, mhimidini. Maana fadhili zake kwetu sisi ni kuu, Na uaminifu wa BWANA ni wa milele.
Shirikisha
Soma Zaburi 117