Zaburi 117:1
Zaburi 117:1 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Haleluya. Enyi mataifa yote, msifuni BWANA, Enyi watu wote, mhimidini.
Shirikisha
Soma Zaburi 117Zaburi 117:1 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Msifuni BWANA, enyi mataifa yote; mtukuzeni yeye, enyi watu wote.
Shirikisha
Soma Zaburi 117Zaburi 117:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Enyi mataifa yote, msifuni Mwenyezi-Mungu! Enyi watu wote mhimidini!
Shirikisha
Soma Zaburi 117Zaburi 117:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Haleluya. Enyi mataifa yote, msifuni BWANA, Enyi watu wote, mhimidini.
Shirikisha
Soma Zaburi 117