Zaburi 112:7
Zaburi 112:7 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Hataogopa habari mbaya, moyo wake ni thabiti, ukimtegemea BWANA.
Shirikisha
Soma Zaburi 112Zaburi 112:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Hana haja ya kuogopa akipata habari mbaya; ana moyo thabiti na humtegemea Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Zaburi 112Zaburi 112:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hataogopa habari mbaya; Moyo wake u imara ukimtumainia BWANA.
Shirikisha
Soma Zaburi 112