Zaburi 11:7
Zaburi 11:7 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Kwa kuwa BWANA ni mwenye haki, yeye hupenda haki. Wanyofu watauona uso wake.
Shirikisha
Soma Zaburi 11Zaburi 11:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu ni mwadilifu na apenda uadilifu; watu wanyofu watakaa pamoja naye.
Shirikisha
Soma Zaburi 11Zaburi 11:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa kuwa BWANA ni mwenye haki, Apenda matendo ya haki, Wanyofu wa moyo watauona uso wake.
Shirikisha
Soma Zaburi 11