Zaburi 11:3-4
Zaburi 11:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Kama misingi ikiharibiwa, mtu mwadilifu atafanya nini?” Mwenyezi-Mungu yumo katika hekalu lake takatifu; kiti cha enzi cha Mwenyezi-Mungu kiko mbinguni. Kwa macho yake huwachungulia wanadamu, na kujua kila kitu wanachofanya.
Shirikisha
Soma Zaburi 11Zaburi 11:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kama misingi ikiharibika, Mwenye haki atafanya nini? BWANA yu katika hekalu lake takatifu. BWANA ambaye kiti chake kiko mbinguni, Macho yake yanaangalia; Kope zake zinawapima wanadamu.
Shirikisha
Soma Zaburi 11