Zaburi 11:2-3
Zaburi 11:2-3 Biblia Habari Njema (BHN)
maana waovu wanavuta pinde; wameweka mishale tayari juu ya uta, wawapige mshale watu wema gizani! Kama misingi ikiharibiwa, mtu mwadilifu atafanya nini?”
Shirikisha
Soma Zaburi 11Zaburi 11:2-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana, tazama, wasio haki wanaupinda uta, Wanaitia mishale yao katika upote, Ili kuwapiga gizani wanyofu wa moyo. Kama misingi ikiharibika, Mwenye haki atafanya nini?
Shirikisha
Soma Zaburi 11