Zaburi 107:9 - Compare All Versions
Zaburi 107:9 BHN (Biblia Habari Njema)
Yeye huwatosheleza walio na kiu; na wenye njaa huwashibisha mema.
Shirikisha
Zaburi 107 BHNZaburi 107:9 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Maana hushibisha nafsi yenye shauku, Na nafsi yenye njaa huijaza mema.
Shirikisha
Zaburi 107 SRUVZaburi 107:9 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana hushibisha nafsi yenye shauku, Na nafsi yenye njaa huijaza mema.
Shirikisha
Zaburi 107 SUVZaburi 107:9 NEN (Neno)
kwa maana yeye humtosheleza mwenye kiu, na kumshibisha mwenye njaa kwa vitu vyema.
Shirikisha
Zaburi 107 NEN