Zaburi 107:8-9
Zaburi 107:8-9 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Basi na wamshukuru BWANA kwa upendo wake usiokoma, na kwa matendo yake ya ajabu kwa wanadamu, kwa maana yeye humtosheleza mwenye kiu, na kumshibisha mwenye njaa kwa vitu vyema.
Zaburi 107:8-9 Biblia Habari Njema (BHN)
Mshukuruni Mwenyezi-Mungu kwa fadhili zake; kwa sababu ya maajabu aliyowatendea binadamu. Yeye huwatosheleza walio na kiu; na wenye njaa huwashibisha mema.
Zaburi 107:8-9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Na wamshukuru BWANA, kwa fadhili zake, Na maajabu yake kwa wanadamu. Maana hushibisha nafsi yenye shauku, Na nafsi yenye njaa huijaza mema.
Zaburi 107:8-9 Swahili Revised Union Version (SRUV)