Zaburi 107:19-20
Zaburi 107:19-20 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndipo katika taabu yao wakamlilia Mwenyezi-Mungu, naye akawaokoa katika mateso yao. Kwa neno lake aliwaponya, akawaokoa wasiangamie.
Shirikisha
Soma Zaburi 107Zaburi 107:19-20 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndipo katika taabu yao wakamlilia Mwenyezi-Mungu, naye akawaokoa katika mateso yao. Kwa neno lake aliwaponya, akawaokoa wasiangamie.
Shirikisha
Soma Zaburi 107Zaburi 107:19-20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakamlilia BWANA katika dhiki zao, Akawaponya kutoka kwa shida zao. Hulituma neno lake, huwaponya, Huwatoa katika maangamizo yao.
Shirikisha
Soma Zaburi 107