Zaburi 106:4-5
Zaburi 106:4-5 Biblia Habari Njema (BHN)
Unikumbuke ee Mwenyezi-Mungu unapowafadhili watu wako; unisaidie wakati unapowaokoa; ili niweze kuona fanaka ya wateule wako, nipate kufurahia furaha ya taifa lako, na kuona fahari pamoja na watu wako.
Shirikisha
Soma Zaburi 106Zaburi 106:4-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ee BWANA, unikumbuke mimi, Kwa kibali ulicho nacho kwa watu wako. Unijie kwa wokovu wako, Ili niuone wema wa wateule wako. Nipate kuifurahia furaha ya taifa lako, Na kujisifu pamoja na watu wako.
Shirikisha
Soma Zaburi 106