Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 103:7-8 - Compare All Versions

Zaburi 103:7-8 BHN (Biblia Habari Njema)

Alimjulisha Mose mwongozo wake, aliwaonesha watu wa Israeli matendo yake. Mwenyezi-Mungu ni mwenye rehema na huruma; ni mvumilivu na mwingi wa fadhili.

Shirikisha
Zaburi 103 BHN

Zaburi 103:7-8 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Alimjulisha Musa njia zake, Wana wa Israeli matendo yake. BWANA amejaa huruma na neema, Haoni hasira upesi, ni mwingi wa fadhili.

Shirikisha
Zaburi 103 SRUV

Zaburi 103:7-8 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Alimjulisha Musa njia zake, Wana wa Israeli matendo yake. BWANA amejaa huruma na neema, Haoni hasira upesi, ni mwingi wa fadhili.

Shirikisha
Zaburi 103 SUV

Zaburi 103:7-8 NEN (Neno)

Alimjulisha Musa njia zake, na watu wa Israeli matendo yake. BWANA ni mwingi wa huruma na mwenye neema; si mwepesi wa hasira, bali amejaa upendo.

Shirikisha
Zaburi 103 NEN