Zaburi 100:1-2
Zaburi 100:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Mshangilieni Mwenyezi-Mungu, enyi nchi zote! Mwabuduni Mwenyezi-Mungu kwa furaha, nendeni kwake mkiimba kwa shangwe!
Shirikisha
Soma Zaburi 100Zaburi 100:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mshangilieni BWANA, enyi nchi zote; Mtumikieni BWANA kwa furaha; Njoni mbele zake mkiimba
Shirikisha
Soma Zaburi 100Zaburi 100:1-2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mfanyieni BWANA shangwe, dunia yote; Mtumikieni BWANA kwa furaha; Njoni mbele zake kwa kuimba
Shirikisha
Soma Zaburi 100