Zaburi 1:1
Zaburi 1:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Heri mtu asiyefuata shauri la waovu, asiyeshiriki njia za wenye dhambi, wala kujumuika na wenye dharau
Shirikisha
Soma Zaburi 1Zaburi 1:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wenye dhambi; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha.
Shirikisha
Soma Zaburi 1Zaburi 1:1 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha.
Shirikisha
Soma Zaburi 1