Methali 9:8
Methali 9:8 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Usimkemee mwenye dhihaka, la sivyo atakuchukia; mkemee mwenye hekima naye atakupenda.
Shirikisha
Soma Methali 9Methali 9:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Usimwonye mwenye dharau maana atakuchukia; mwonye mwenye hekima naye atakupenda.
Shirikisha
Soma Methali 9Methali 9:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Usimkaripie mwenye dharau, asije akakuchukia; Mkaripie mwenye hekima, naye atakupenda.
Shirikisha
Soma Methali 9