Methali 9:7-8
Methali 9:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Anayemkosoa mwenye dharau hupata matusi, amkaripiaye mwovu huishia kwa kuumizwa. Usimwonye mwenye dharau maana atakuchukia; mwonye mwenye hekima naye atakupenda.
Shirikisha
Soma Methali 9Methali 9:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Amkemeaye mwenye dharau hujipatia fedheha; Amkaripiaye mtu mbaya hujipatia aibu. Usimkaripie mwenye dharau, asije akakuchukia; Mkaripie mwenye hekima, naye atakupenda.
Shirikisha
Soma Methali 9