Methali 9:11
Methali 9:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana, kwa msaada wangu siku zako zitazidishwa; Na miaka ya maisha yako itaongezwa.
Shirikisha
Soma Methali 9Methali 9:11 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Kwa maana kwa msaada wangu siku zako zitakuwa nyingi, na miaka itaongezwa katika maisha yako.
Shirikisha
Soma Methali 9Methali 9:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa msaada wangu mimi Hekima siku zako zitaongezwa; utaongezewa miaka mingi maishani mwako.
Shirikisha
Soma Methali 9Methali 9:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana, kwa msaada wangu siku zako zitazidishwa; Na miaka ya maisha yako itaongezwa.
Shirikisha
Soma Methali 9