Methali 8:5
Methali 8:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Enyi wajinga, jifunzeni kuwa na akili; sikilizeni kwa makini enyi wapumbavu.
Shirikisha
Soma Methali 8Methali 8:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Enyi wajinga, fahamuni werevu, Nanyi wapumbavu, mpate moyo wa kufahamu.
Shirikisha
Soma Methali 8