Methali 8:18-19
Methali 8:18-19 Biblia Habari Njema (BHN)
Utajiri na heshima viko kwangu, mali ya kudumu na fanaka. Matunda yangu ni mazuri kuliko dhahabu safi, faida yangu yashinda ile ya fedha bora.
Shirikisha
Soma Methali 8Methali 8:18-19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Utajiri na heshima ziko kwangu, Naam, utajiri udumuo, na haki pia. Matunda yangu ni bora kuliko dhahabu, naam, dhahabu safi, Na faida yangu ni bora kuliko fedha iliyo safi.
Shirikisha
Soma Methali 8