Methali 8:1-3
Methali 8:1-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Sikilizeni! Hekima anaita! Busara anapaza sauti yake! Juu penye mwinuko karibu na njia, katika njia panda ndipo alipojiweka. Karibu na malango ya kuingilia mjini, mahali wanapoingia watu anaita kwa sauti
Shirikisha
Soma Methali 8Methali 8:1-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Je! Hekima halii? Ufahamu hatoi sauti yake? Juu ya mahali palipoinuka karibu na njia, Penye njia panda, ndipo asimamapo. Karibu na malango, mahali pa kuingia mjini, Mahali pa kuyaingilia malango anapiga kelele.
Shirikisha
Soma Methali 8