Methali 7:27
Methali 7:27 Biblia Habari Njema (BHN)
Nyumba yake ni njia ya kwenda kuzimu, ni mahali pa kuteremkia mautini.
Shirikisha
Soma Methali 7Methali 7:27 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nyumba yake ni njia ya kwenda kuzimu, Hushuka mpaka vyumba vya mauti.
Shirikisha
Soma Methali 7