Methali 7:22
Methali 7:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapo akamfuata huyo mwanamke moja kwa moja, kama ng'ombe aendaye machinjioni, kama paa arukiaye mtegoni.
Shirikisha
Soma Methali 7Methali 7:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Huyo akafuatana naye mara hiyo, Kama vile ng'ombe aendavyo machinjoni; Au mpumbavu kuadhibiwa katika pingu
Shirikisha
Soma Methali 7