Methali 7:19-20
Methali 7:19-20 Biblia Habari Njema (BHN)
Mume wangu hayumo nyumbani, amekwenda safari ya mbali. Amechukua bunda la fedha; hatarejea nyumbani karibuni.”
Shirikisha
Soma Methali 7Methali 7:19-20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana mume wangu hayumo nyumbani, Amekwenda safari ya mbali; Amechukua mfuko wa fedha mkononi; Atarudi wakati wa mwezi mpevu.
Shirikisha
Soma Methali 7