Methali 5:23 - Compare All Versions
Methali 5:23 BHN (Biblia Habari Njema)
Yeye hufa kwa utovu wa nidhamu, huangamia kwa sababu ya upuuzi wake mkuu.
Shirikisha
Methali 5 BHNMethali 5:23 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Atakufa huyo kwa kukosa maonyo, Naye atapotea kwa wingi wa ujinga wake.
Shirikisha
Methali 5 SRUVMethali 5:23 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Atakufa huyo kwa kukosa maonyo, Naye atapotea kwa wingi wa ujinga wake.
Shirikisha
Methali 5 SUVMethali 5:23 NEN (Neno)
Atakufa kwa kukosa nidhamu, akipotoshwa kwa upumbavu wake mwenyewe.
Shirikisha
Methali 5 NEN