Methali 5:21
Methali 5:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Kumbuka njia za mtu zi wazi mbele ya Mwenyezi-Mungu; yeye anaona kila hatua anayochukua binadamu.
Shirikisha
Soma Methali 5Methali 5:21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana njia za mwanadamu ziko mbele ya macho ya BWANA, Na mienendo yake yote huitafakari.
Shirikisha
Soma Methali 5Methali 5:21 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa maana njia za mwanadamu zi mbele za macho ya BWANA, Na mienendo yake yote huitafakari.
Shirikisha
Soma Methali 5