Methali 31:4-5
Methali 31:4-5 Biblia Habari Njema (BHN)
Haifai ee Lemueli, haifai wafalme kunywa divai, wala wakuu kutamani vileo. Wakinywa watasahau maagizo ya sheria, na kuwanyima haki wenye taabu.
Shirikisha
Soma Methali 31Methali 31:4-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ee Lemueli, kunywa mvinyo hakuwafai wafalme, hakuwafai wafalme; Wala haifai wakuu waseme, Kiko wapi kileo? Wasije wakanywa na kuisahau sheria, Na kuipotosha hukumu ya mtu aliye taabuni.
Shirikisha
Soma Methali 31