Methali 31:25-26
Methali 31:25-26 Biblia Habari Njema (BHN)
Nguvu na heshima ndizo sifa zake, hucheka afikiriapo wakati ujao. Hufungua kinywa kunena kwa hekima, huwashauri wengine kwa wema.
Shirikisha
Soma Methali 31Methali 31:25-26 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Amevikwa nguvu na heshima, anaweza kucheka bila kuwa na hofu kwa siku zijazo. Huzungumza kwa hekima, na mafundisho ya kuaminika yapo ulimini mwake.
Shirikisha
Soma Methali 31Methali 31:25-26 Biblia Habari Njema (BHN)
Nguvu na heshima ndizo sifa zake, hucheka afikiriapo wakati ujao. Hufungua kinywa kunena kwa hekima, huwashauri wengine kwa wema.
Shirikisha
Soma Methali 31Methali 31:25-26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nguvu na hadhi ndiyo mavazi yake; Anaucheka wakati ujao. Hufumbua kinywa chake kwa hekima, Na sheria ya wema iko katika ulimi wake.
Shirikisha
Soma Methali 31Methali 31:25-26 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nguvu na hadhi ndiyo mavazi yake; Anaucheka wakati ujao. Hufumbua kinywa chake kwa hekima, Na sheria ya wema i katika ulimi wake.
Shirikisha
Soma Methali 31