Methali 31:24-25
Methali 31:24-25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hufanya nguo za kitani na kuziuza; Huwapa wafanya biashara mishipi. Nguvu na hadhi ndiyo mavazi yake; Anaucheka wakati ujao.
Shirikisha
Soma Methali 31Methali 31:24-25 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Hufanya nguo za kitani na kuziuza; Huwapa wafanya biashara mishipi. Nguvu na hadhi ndiyo mavazi yake; Anaucheka wakati ujao.
Shirikisha
Soma Methali 31Methali 31:24-25 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Hutengeneza mavazi ya kitani na kuyauza, naye huwauzia wafanyabiashara mishipi. Amevikwa nguvu na heshima, anaweza kucheka bila kuwa na hofu kwa siku zijazo.
Shirikisha
Soma Methali 31