Methali 31:24
Methali 31:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwanamke huyo hutengeneza nguo na kuziuza, huwauzia wafanyabiashara mishipi.
Shirikisha
Soma Methali 31Methali 31:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hufanya nguo za kitani na kuziuza; Huwapa wafanya biashara mishipi.
Shirikisha
Soma Methali 31