Methali 31:23
Methali 31:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Mume wake ni mtu mashuhuri barazani, anakoshiriki vikao vya wazee wa nchi.
Shirikisha
Soma Methali 31Methali 31:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mume wake hujulikana malangoni; Aketipo pamoja na wazee wa nchi.
Shirikisha
Soma Methali 31