Methali 31:22-23
Methali 31:22-23 Biblia Habari Njema (BHN)
Hujitengenezea matandiko, mavazi yake ni ya zambarau ya kitani safi. Mume wake ni mtu mashuhuri barazani, anakoshiriki vikao vya wazee wa nchi.
Shirikisha
Soma Methali 31Methali 31:22-23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hujifanyia mazulia ya urembo; Mavazi yake ni kitani safi na urujuani. Mume wake hujulikana malangoni; Aketipo pamoja na wazee wa nchi.
Shirikisha
Soma Methali 31