Methali 31:22
Methali 31:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Hujitengenezea matandiko, mavazi yake ni ya zambarau ya kitani safi.
Shirikisha
Soma Methali 31Methali 31:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hujifanyia mazulia ya urembo; Mavazi yake ni kitani safi na urujuani.
Shirikisha
Soma Methali 31