Methali 31:18-19
Methali 31:18-19 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Huona kama bidhaa yake ina faida; Taa yake haizimiki usiku. Hutia mikono yake katika kusokota; Na mikono yake huishika pia.
Shirikisha
Soma Methali 31Methali 31:18-19 Biblia Habari Njema (BHN)
Hutambua kwamba shughuli zake zina faida; hufanya kazi hata usiku kwa mwanga wa taa yake. Husokota nyuzi kwa mikono yake mwenyewe, kwa vidole vyake mwenyewe husuka nguo zake.
Shirikisha
Soma Methali 31