Methali 30:5-6
Methali 30:5-6 Biblia Habari Njema (BHN)
Maneno yote ya Mungu ni ya kuaminika; yeye ni ngao yao wote wanaomkimbilia. Usiongeze neno katika maneno yake, asije akakukemea, nawe ukaonekana mwongo.
Shirikisha
Soma Methali 30Methali 30:5-6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kila neno la Mungu limehakikishwa; Yeye ni ngao yao wamwaminio. Usiongeze neno katika maneno yake; Asije akakulaumu, ukaonekana u mwongo.
Shirikisha
Soma Methali 30