Methali 29:5
Methali 29:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenye kumbembeleza jirani yake, anatega mtego wa kujinasa mwenyewe.
Shirikisha
Soma Methali 29Methali 29:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwenye kujipendekeza kwa jirani yake, Hutandika wavu ili kuitega miguu yake.
Shirikisha
Soma Methali 29