Methali 29:24-25
Methali 29:24-25 Biblia Habari Njema (BHN)
Anayeshirikiana na mwizi anajidhuru mwenyewe; husikia laana ya aliyeonewa bila kusema neno. Kuwaogopa watu ni kujitega mwenyewe, lakini anayemtumaini Mwenyezi-Mungu yu salama.
Shirikisha
Soma Methali 29Methali 29:24-25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mshiriki wa mwizi huichukia nafsi yake mwenyewe; Asikia maapizo, wala hana neno. Kuwaogopa wanadamu huleta mtego; Bali amtumainiye BWANA atakuwa salama.
Shirikisha
Soma Methali 29Methali 29:24-25 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mshiriki wa mwivi huichukia nafsi yake mwenyewe; Asikia maapizo, wala hana neno. Kuwaogopa wanadamu huleta mtego; Bali amtumainiye BWANA atakuwa salama.
Shirikisha
Soma Methali 29