Methali 29:2
Methali 29:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Waadilifu wakitawala watu hufurahi, lakini waovu wakitawala watu hulalamika.
Shirikisha
Soma Methali 29Methali 29:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wenye haki wakiwa na amri, watu hufurahi; Bali mwovu atawalapo, watu huugua.
Shirikisha
Soma Methali 29