Methali 29:18
Methali 29:18 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Pasipo maono, watu huacha kujizuia; Bali ana heri mtu yule aishikaye sheria.
Shirikisha
Soma Methali 29Methali 29:18 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Mahali pasipo na ufunuo, watu huacha kujizuia, bali ana heri mtu yule anayeitii sheria.
Shirikisha
Soma Methali 29Methali 29:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Pasipo maono ya kinabii watu hukosa nidhamu; heri mtu yule anayeshika sheria.
Shirikisha
Soma Methali 29Methali 29:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Pasipo maono, watu huacha kujizuia; Bali ana heri mtu yule aishikaye sheria.
Shirikisha
Soma Methali 29