Methali 28:27
Methali 28:27 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwenye kuwagawia maskini hatahitaji kitu; Bali afichaye macho yake atakuwa na laana nyingi.
Shirikisha
Soma Methali 28Methali 28:27 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Yeye ampaye maskini hatapungukiwa na kitu chochote, bali yeye awafumbiaye maskini macho hupata laana nyingi.
Shirikisha
Soma Methali 28Methali 28:27 Biblia Habari Njema (BHN)
Aliye mkarimu kwa maskini hatatindikiwa kitu, lakini anayekataa kuwaangalia atalaaniwa kwa wingi.
Shirikisha
Soma Methali 28Methali 28:27 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwenye kuwagawia maskini hatahitaji kitu; Bali afichaye macho yake atakuwa na laana nyingi.
Shirikisha
Soma Methali 28