Methali 27:8
Methali 27:8 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Kama ndege atangatangavyo mbali na kiota chake, ndivyo alivyo mtu atangatangaye mbali na nyumbani mwake.
Shirikisha
Soma Methali 27Methali 27:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtu aliyepotea mbali na kwake, ni kama ndege aliyepotea mbali na kiota chake.
Shirikisha
Soma Methali 27Methali 27:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kama ndege aendaye huku na huko mbali na kitundu chake; Ndivyo alivyo mtu aendaye huku na huko mbali na mahali pake.
Shirikisha
Soma Methali 27