Methali 27:7
Methali 27:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Aliyeshiba hata asali huikataa, lakini kwa mwenye njaa kila kichungu ni kitamu.
Shirikisha
Soma Methali 27Methali 27:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nafsi iliyoshiba hukinai sega la asali; Bali nafsi yenye njaa huona kila kitu kichungu kuwa kitamu.
Shirikisha
Soma Methali 27