Methali 27:4
Methali 27:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Ghadhabu ni katili na hasira huangamiza; lakini ni nani awezaye kuukabili wivu?
Shirikisha
Soma Methali 27Methali 27:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ghadhabu ni kali, na hasira ni gharika; Lakini ni nani awezaye kusimama mbele ya wivu.
Shirikisha
Soma Methali 27