Methali 27:22
Methali 27:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtwange mpumbavu katika kinu pamoja na nafaka, lakini hutafaulu kumtenganisha na upumbavu wake.
Shirikisha
Soma Methali 27Methali 27:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hata ukimtwanga mpumbavu kwa mchi kinuni pamoja na ngano; Upumbavu wake hautamtoka.
Shirikisha
Soma Methali 27