Methali 27:14
Methali 27:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Amwamkiaye jirani kwa kelele alfajiri, itaeleweka kwamba amemtakia laana.
Shirikisha
Soma Methali 27Methali 27:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtu ambarikiye mwenzake kwa sauti kuu asubuhi na mapema; Itahesabiwa kuwa ni laana kwake.
Shirikisha
Soma Methali 27