Methali 27:1-2
Methali 27:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Usijisifie ya kesho, hujui nini kitatokea leo mpaka kesho. Acha watu wengine wakusifu, kuliko mdomo wako wewe mwenyewe.
Shirikisha
Soma Methali 27Methali 27:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Usijisifu kwa ajili ya kesho; Kwa maana hujui yatakayozaliwa na siku moja. Mwingine na akusifu wala si kinywa chako mwenyewe; Mtu mgeni wala si midomo yako wewe.
Shirikisha
Soma Methali 27