Methali 26:4 - Linganisha Matoleo Yote
Methali 26:4 BHN (Biblia Habari Njema)
Usimjibu mpumbavu kipumbavu, usije ukafanana naye.
Methali 26:4 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Usije ukafanana naye.
Methali 26:4 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Usije ukafanana naye.
Methali 26:4 NEN (Neno)
Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake, ama wewe mwenyewe utakuwa kama yeye.