Methali 24:5-6
Methali 24:5-6 Biblia Habari Njema (BHN)
Kuwa na hekima ni bora kuliko kuwa na nguvu, naam, maarifa ni bora kuliko nguvu. Maana kwa mwongozo mzuri waweza kupigana vita, na kwa washauri wengi ushindi hupatikana.
Shirikisha
Soma Methali 24Methali 24:5-6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtu mwenye hekima ana nguvu; Naam, mtu wa maarifa huongeza uwezo; Maana kwa mashauri ya akili utafanya vita; Na kwa wingi wa washauri huja wokovu.
Shirikisha
Soma Methali 24