Methali 24:34
Methali 24:34 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini kumbuka kwamba uwapo usingizini, umaskini utakuvamia kama mnyanganyi, ufukara kama mtu mwenye silaha.
Shirikisha
Soma Methali 24Methali 24:34 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hivyo, umaskini wako huja kama mnyang'anyi, Na uhitaji wako kama mtu mwenye silaha.
Shirikisha
Soma Methali 24