Methali 24:3-4
Methali 24:3-4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nyumba hujengwa kwa hekima, Na kwa ufahamu huthibitika, Na kwa maarifa vyumba vyake hujazwa Vitu vyote vya thamani na vya kupendeza.
Shirikisha
Soma Methali 24Methali 24:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Nyumba hujengwa kwa hekima, na kuimarishwa kwa busara. Kwa maarifa vyumba vyake hujazwa vitu vya thamani na vya kupendeza.
Shirikisha
Soma Methali 24Methali 24:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nyumba hujengwa kwa hekima, Na kwa ufahamu huthibitika, Na kwa maarifa vyumba vyake hujazwa Vitu vyote vya thamani na vya kupendeza.
Shirikisha
Soma Methali 24