Methali 24:23
Methali 24:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Ifuatayo pia ni misemo ya wenye hekima: Kupendelea watu katika hukumu si vizuri.
Shirikisha
Soma Methali 24Methali 24:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Haya nayo pia ni maneno ya wenye akili. Kupendelea watu katika hukumu si kwema.
Shirikisha
Soma Methali 24