Methali 24:11
Methali 24:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwokoe mtu anayechukuliwa kuuawa bure; usisite kumwokoa anayeuawa bila hatia.
Shirikisha
Soma Methali 24Methali 24:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Uwaokoe wanaochukuliwa ili wauawe; Nao walio tayari kuchinjwa uwaopoe.
Shirikisha
Soma Methali 24